Posted on April 6, 2021 in Athletics, Festivals

Mkurugenzi wa GSTF Mapinduzi Festivals 2021

by Admin

Mkurugenzi Mtendaji wa Gidabuday Sports Tourism Foundation, Bi. Eva Gidabuday ( Mwenye Koti la Njano) na waandishi wenzake wa mbio za 2nd Annual Mapinduzi Festivals 2021 ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,akishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha.Leave a Reply