Posted on April 6, 2021 in Athletics, Festivals, Media

Maximillian Iranghe awaasa Wanariadha

by Admin

Meya wa Jiji la Arusha Bw. Maximillian Iraqhe akianzisha mbio za mita 1500 na kuwaasa vijana kuhusu kukimbia kwa Malengo na kutimiza muda wao, aliyasema hayo alivyohudhuria katika mbio za 2nd Annual Mapinduzi Festival ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,wakishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, ArushaLeave a Reply