Archive for month

April, 2021

Maximillian Iranghe awaasa Wanariadha

Athletics, Festivals, Media April 6, 2021

Meya wa Jiji la Arusha Bw. Maximillian Iraqhe akianzisha mbio za mita 1500 na kuwaasa vijana kuhusu kukimbia kwa Malengo na kutimiza muda wao, aliyasema hayo alivyohudhuria katika mbio za 2nd Annual Mapinduzi Festival ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,wakishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha

Mkurugenzi wa GSTF Mapinduzi Festivals 2021

Athletics, Festivals April 6, 2021
Eva Gidabuday

Mkurugenzi Mtendaji wa Gidabuday Sports Tourism Foundation, Bi. Eva Gidabuday ( Mwenye Koti la Njano) na waandishi wenzake wa mbio za 2nd Annual Mapinduzi Festivals 2021 ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,akishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha.