Kutoka Kushoto: Bw. Jackson Jorwa, Kocha Francis John , Meya wa Jiji la Arusha, Mh. Maximillian Iraqhe , Mkurugenzi wa Gidabuday Sports Tourism Foundation, Bw. Wilhelm Gidabuday na Bw. Ndaweka wakiwasili kwenye mbio za 2nd Annual Mapinduzi Festival ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,wakishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha.